addy2013. Powered by Blogger.
RSS

WIMBO MPYA: Addy Ng'ari - Shilingi Ni Nani. (Prod By Mose)

Baada ya kimya kirefu, sasa yule mkali wa masauti na show za hatari ADDY Brother a.k.a Addy Ng'ari kama ambavyo anajulikana kwasasa, Amerejea upya na kazi mpya iitwayo Shilingi Ni Nani ambayo ina mahadhi ya kuchezeka popote na melody nzuri ikiwa imefanywa na Producer Mose.

Unaweza kusikiliza na kuidownload hapa bure kabisa.

Toa support yako kwa kujipatia wimbo huu sasa.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment